Washirika
Welcome
Login

Videos being watched right now


Daily Word

The Word of GOD is Active. Live. and Sharp:

Tenzi Trending

 • Yesu Mponya

  Tenzi:: #137 Tumsifu huyo Yesu Tumsifu milele, Kwani Mponya mtakata Mwokozi wa wanyonge Yesu ndiye mganga wetu Aponya wagonjwa ...

 • Msifuni ,Yesu ndiye mkombozi

  Tenzi:: #136 Msifuni ,Yesu ndiye mkombozi; Imbeni ya pendo zake kuu, Sujuduni,malaika mlioko, Jina lake liwe na sifa kuu. Kama ...

 • Mapenzi ya milele

  Tenzi:: #135 Mapenzi ya milele Ndiyo yanipendezayo; Yalinipenda mbele, Sina fahamu nayo; Sasa amani yake Tele rohoni mwangu, Ni...

 • Juu yake langu shaka

  Tenzi:: #134 Natumai, natumai, Nnatumai kwake tu; Natumai, natumai, Natumai kwake tu. Juu yake langu shaka, Yesu namuwekea, Nam...

 • Ni wako Mungu

  Tenzi:: #133 Aleluya enzi ndako; Aleluya,Amin. Aleluya,enzi ndako; Rejea Yesu. Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua ...

 • Sauti sikilizeni

  Tenzi:: #132 Sauti sikilizeni Za waimbao juu, “Aleluya, Aleluya, Aleluya, mkuu!” Wako makundi-makundi Kama nyota wa...

 • Piga sana vita vyema

  Tenzi:: #131 Piga sana vita vyema Kwa ushujaa daima, Yesu ndiye nguvu zako, Yesu ndiye kweli yako. Kaza mwendo, ushindane Angaz...

 • Niongoze, Bwana Mungu

  Tenzi:: #130 Niongoze, Bwana Mungu, Ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina: Nishike mkononi; U mkate wa Mbinguni, nilishe sik...

 • Karibu na wewe

  Tenzi:: #129 Karibu na wewe, Mungu wangu Karibu zaidi, Bwana wangu Siku zote niwe Karibu na wewe, Karibu zaidi Mungu wangu. Mim...

 • Mmoja apita wote

  Tenzi:: #128 Mmoja apita wote, Atupenda; Zaidi ya ndugu wote, Atupenda; Rafiki wa duniani, Wote hatuwaamini; Yesu kwa kila zama...

 • Bwana Yesu Atakuja

  Tenzi:: #127 Bwana Yesu atakuja, Vumilia! Omba, ukiwa na haja, Vumilia! Mbingunu Mungu aliko, Mwamini Mwokozi wako, Nawe utafik...

 • Ni mji mzuri

  Tenzi:: #126 Ni mji mzuri, Mbali sana; Watu wanawiri Kama jua; Waimba kwa tamu, Tuna wema hakimu: Sifa na idumu, Kwake Bwana. N...

 • Ati twonane mtoni?

  Tenzi:: #125 Naam, twonane mtoni! Watakatifu, kwenu ni mtoni! Tutakutanika mtoni Penye kiti cha Mungu Ati twonane mtoni? Maji m...

 • Mungu ulisema

  Tenzi:: #124 Mungu ulisema, Giza ilikoma; Twakushukuru! Twakusihi sote, Duniani mote Na kwa watu wote, Iwe nuru. Yesu ulikuja, ...

 • Nimeketi mimi nili kipofu

  Tenzi:: #123 Huruma hakuna aonaye, Gizani nagojea macho, Sasa nitakase nikusihiye, Yesu, na dhambi zangu nzito. Nimeketi mimi n...

 • Bwana Yesu

  Tenzi:: #122 Kumbe! Ni dhambi zangu zinazokuumiza. Bwana wangu, Mungu wangu, Mimi leo, naja kwako Ili niziungame. Bwana Yesu, B...

 • Liko lango moja wazi

  Tenzi:: #121 Lango ndiye Yesu Bwana Wote waingie kwake, Lango! Lango La Mbinguni ni wazi. Liko lango moja wazi, Ni lango la mbi...

 • Enyi wanadamu

  Tenzi:: #120 Enyi wanadamu mbona Sana mwatanga-tanga, Kama kondoo wanyonge, Wasio na mchunga? Yuko mchunga mmoja Mwenye mapenzi...

 • Si damu ya nyama

  Tenzi:: #119 Si damu ya nyama Iliyomwagika Iwezayo kuondoa Dhambi za wakosa. Yeye Bwana Yesu Sadaka ya Mungu, Mwenye damu ya th...

 • Tufani inapovuma

  Tenzi:: #117 Hunificha, hunificha Adui hatanipata, Hunificha, hunificha, Mkononi mwake. Tufani inapovuma Sana moyoni mwangu, Hu...