Washirika
Welcome
Login

Wewe umechoka sana

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #53

 1. Wewe umechoka sana?
  Wataka raha?
  Kwake Yesu utapata furaha.
 2. Alama anazo yeye?
  Sasa! makovu ya mikono, na miguu,
  Na mbavu.
 3. Nacho kimivukwa taji
  Kichwa cha huba?
  Alivikwa taji kweli miiba.
 4. Huku nikimfuata nipate nini?
  Maonjo nje na ndani amani.
 5. Kwamba namwandama Bwana,
  Mwisho ni nini?
  Ni furaha na salama
  Mbinguni.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Piga sana vita vyema
  Tenzi:: #131 Piga sana vita vyema Kwa ushujaa daima, Yesu ndiye nguvu zako, Yesu ndiye kweli yako. Kaza mwendo, ushindane ...
 • Karibu na wewe
  Tenzi:: #129 Karibu na wewe, Mungu wangu Karibu zaidi, Bwana wangu Siku zote niwe Karibu na wewe, Karibu zaidi Mungu wangu...
 • Nilikupa Wewe Maisha Yangu
  Tenzi:: #112 Nilikupa wewe Damu ya moyoni, Ili wokolewe, Winuke ufuni: Nimekunyimani? Umenipa nini? Nilikupa miaka Yangu d...
 • Twasoma, ni njema sana
  Tenzi:: #104 Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vi...

Submit Worship Music

RSS