Washirika
Welcome
Login

Usinipite Mwokozi

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #10

 Yesu,Yesu,
Unisikie;
Unapozuru wengine,
Usinipite.
 1. Usinipite Mwokozi,
  Unisikie;
  Unapozuru wengine,
  Usinipite.
 2. Kiti chako cha rehema,
  Nakitazama;
  Magoti napiga pale,
  Nisamehewe.
 3. Sina ya kutegemea,
  Ila Wewe tu;
  Uso wako uwe kwangu;
  Nakuabudu.
 4. U Mfariji peke yako;
  Sina Mbinguni,
  Wala duniani pote,
  Bwana mwingine.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Mle kaburini Yesu Mwokozi!
  Tenzi:: #96 Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa! Gizani mle alitoka chini, Sasa atawala huko Mbinguni! Yu hai! Yu ha...
 • Msalabani Pa Mwokozi
  Tenzi #77 Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Msalabani pa mwokozi, Hapo niliomba upozi, Akan...
 • Mwokozi Moyoni Mwangu
  Tenzi:: #24 Amani moyoni mwangu, kwa Yesu, Mwokozi wangu; Sina shaka kamwe, Kwa sababu yeye, Yu nami moyoni mwangu. Tangu ...
 • Kumtegemea Mwokozi
  Tenzi #16:: Nyimbo Za iNjili #71 (Ni Tamu Kumjua Yesu):: 'tis so sweet to trust in jesus Yesu,Yesu namwamini,Nimemwona tha...

Submit Worship Music

RSS