Washirika
Welcome
Login

Si damu ya nyama

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #119

 1. Si damu ya nyama
  Iliyomwagika
  Iwezayo kuondoa
  Dhambi za wakosa.
 2. Yeye Bwana Yesu
  Sadaka ya Mungu,
  Mwenye damu ya thamani,
  Ni mwokozi kweli.
 3. Kwa imani yangu,
  Namshika yeye,
  Naziweka dhambi zangu
  Juu ya kichwa chake.
 4. Mzigo wa dhambi
  Sichukui tena,
  Ameuchukua yeye,
  Juu ya msalaba.
 5. Bwana Yesu ndiye,
  Mwokozi wa kweli
  Tumsifu siku zote,
  Twapata uhuru
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Ndiyo damu ya baraka
  Tenzi:: #88 1. Ndiyo damu ya baraka ituoshayo wakosa, Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa; Nimestahili hukumu, siwezi...
 • Damu imebubujika
  Tenzi:: #86 Damu imebubujika, Ni ya Imanweli, Wakioga wenye taka, Husafiwa kweli. Ilimpa kushukuru Mwivi mautini; Nami nis...
 • Kwa wingi wa nyama
  Tenzi:: #83 Kwa wingi wa nyama, Na sadaka pia, Hupata wapi salama, Kwondoa hatia? Sadaka ni Yesu, Hwondoa makosa; Dhabihu ...

Submit Worship Music

RSS