Washirika
Welcome
Login

Piga sana vita vyema

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #131

 1. Piga sana vita vyema
  Kwa ushujaa daima,
  Yesu ndiye nguvu zako,
  Yesu ndiye kweli yako.
 2. Kaza mwendo, ushindane
  Angaza macho, umwone
  Yesu ndiye njia yako,
  Naye ndiye tuzo lako.
 3. Tupa kizito, simama,
  Tazama mbele, si nyuma;
  Ni yeye uzima wako,
  Naye ni kipendo chako.
 4. Tangamka, uamini
  Akushika mikononi
  Hageuki, akupenda,
  Kuwa naye una pia.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Twasoma, ni njema sana
  Tenzi:: #104 Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vi...
 • Hivi vita vimekoma
  Tenzi:: #95 Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma, Vimeshindwa na uzima, Na asifiwe daima, Bwana Yesu. Nguvu za ki...
 • Wewe umechoka sana
  Tenzi:: #53 Wewe umechoka sana? Wataka raha? Kwake Yesu utapata furaha. Alama anazo yeye? Sasa! makovu ya mikono, na miguu...

Submit Worship Music

RSS