Washirika
Welcome
Login

Karibu na wewe

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #129

 1. Karibu na wewe,
  Mungu wangu
  Karibu zaidi,
  Bwana wangu
  Siku zote niwe
  Karibu na wewe,
  Karibu zaidi
  Mungu wangu.
 2. Mimi nasafiri
  Duniani,
  Pa kupumzika
  Sipaoni,
  Nilalapo niwe
  Karibu na wewe,
  Karibu zaidi
  Mungu wangu.
 3. Na kwa nguvu zangu
  Nikusifu;
  Mwamba, uwe maji
  Ya wokovu;
  Mashakani niwe
  Karibu na wewe;
  Karibu zaidi
  Mungu wangu.
 4. Na nyumbani mwa juu,
  Baba yangu,
  Zikikoma hapa
  Siku zangu,
  Kwa furaha niwe
  Pamoja na wewe,
  Karibu kabisa
  Mungu wangu.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Nilikupa Wewe Maisha Yangu
  Tenzi:: #112 Nilikupa wewe Damu ya moyoni, Ili wokolewe, Winuke ufuni: Nimekunyimani? Umenipa nini? Nilikupa miaka Yangu d...
 • Wewe umechoka sana
  Tenzi:: #53 Wewe umechoka sana? Wataka raha? Kwake Yesu utapata furaha. Alama anazo yeye? Sasa! makovu ya mikono, na miguu...
 • Ni wako wewe
  Tenzi:: #47 Bwana vuta, vuta, nije nisongee, Sana, kwako mtini. Bwana vuta, vuta, nije nisongee, Pia damu ya thamani. Ni w...

Submit Worship Music

RSS