Washirika
Welcome
Login
Orodha ya Tenzi
Orodha :  Wimbo  Tenzi Za Rohoni                  Hymns and Spirituals
Mkisemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshangilia Bwana mioyoni mwenu;
Wimbo Kutoka Tenzi# Tenzi Za Rohoni#

Akifa Yesu Nikafa naye

18

Neno lake Bwana

111

Aliteswa, aliteswa

90

Nilikupa wewe Maisha yangu

112

Anipenda ni kweli

28

Nilikuwa Kondoo aliyepotea

30

Anisikiaye aliye yote

36

Nimeketi mini nili kipofu

123

Ati twonane Mtoni?

125

Nimekombolewa na Yesu

25

Bwana, Mwana, Roho

6

Ni Mfalme wa Mapenzi

113

Baba Yetu aliye Mbinguni

29

Ni Mji mzuri

126

Bwana Amefufuka

93

Ni mtu wa simanzi

85

Bwana Mungu, nashangaa kabisa

114

Nina haja nawe

11

Bwana uliyewaita

67

Ninaye rafiki naye

20

Bwana , U sehemu yangu

116

Niongoze, Bwana Mungu

130

Bwana wa mabwana

62

Nipe moyo wenye sifa

55

Bwana Yesu

122

Ni salama rohoni mwangu

23

Bwana Yesu atakuja

127

Ni sikukuu siku ile

56

Cha kutumaini sina

15

Ni tabibu wa karibu

7

Chini ya msalaba

81

Nitaimba ya Yesu

109

Damu imebubujika

86

Nitwae hivi nilivyo

49

Deni ya dhambi ilimalizika

87

Ni ujumbe wa Bwana

118

Dhambi ikikulemea

33

Ni wako Mungu

133

Enyi wanadamu

120

Ni wako wewe

47

Ewe Baba wa Mbinguni

107

Niwonapo mti bora

84

Ewe Roho wa Mbinguni

12

Njoni, enyi wa imani

76

Hata ndimi elfu

3

Njoni! Wenye dhambi

34

Hivi vita vimekoma

95

Peleleza ndani yangu

59

Huyo ndiye anashuka

98

Piga sana vita vyema

131

Jina lake Yesu tamu

5

Po pote mashamba yajaa

66

Jina la Yesu, salamu

4

Roho yangu hima

21

Juu yake langu shaka

134

Safari

65

Kaa nami

103

Sauti sikilizeni

132

Kale nilitembea

22

Si damu ya nyama

119

Karibu na wewe

129

Siku ya mbingu kujawa na sifa</>

94

Kazi yangu ikiisha

102

Sioni haya kwa Bwana

82

Kilima kando ya Mji

115

Sioshwi dhambi zangu

78

Kivulini mwa Yesu

42

Tafuta daima utakatifu

13

Kukawa na giza dunia yote

44

Taji mvikeni

8

Kumtegemea Mwokozi

16

Tazameni huyo ndiye

97

Kuwatafuta

105

Tufani inapovuma

117

Kwa Kalvari

89

Tukutendereza Yesu - Luganda

138

Kwa wingi wa nyama

83

Tumesikia mbiu

61

Liko lango moja wazi

121

Safari Tumrudie Bwana

100

Maelfu na maelfu

99

Twae wangu uzima

46

Mapenzi yako yafanyike, Bwana

91

Twamsifu Mungu

2

Mapenzi ya milele

135

Twasoma ni njema sana

104

Mapya ni mapenzi hayo

110

Twende kwake

35

Mle kaburini, Yesu mwokozi

96

Twende kwa Yesu

38

Mmoja apita wote

128

Twendeni askari

69

Msalabani pa Mwokozi

77

Twendeni! Haraka!

72

Msalaba wa aibu

79

Twenenda sayuni

108

Msifuni, Yesu ndiye mkombozi

136

Twonane milele

101

Msingi imara

31

Ujaribiwapo, sifanye dhambi

64

Mtazame Huyo aliyeangikwa juu

45

Usinipite

10

Mteteeni Yesu

71

Wachunga walipolinda

74

Mungu awe nanyi daima

106

Waimba, sikizeni

75

Mungu msaada wetu

68

Waitwa, mwovu, na Bwana

37

Mungu ni pendo

27

Wamwendea Yesu kwa kusafiwa

80

Mungu twatoa shukrani

51

Waponyeni watu

60

Mungu ulisema

124

Wewe umechoka sana

53

Mwamba Mwenye iMara

58

Yesu akwita

43

Mwenye dhambi huna raha

39

Yesu aliniita, “Njoo”

41

Mwokozi moyoni mwangu

24

Yesu atuchunga

70

Mwokozi Umeokoa

1

Yesu awakubali wakosa

32

Naendea msalaba

57

Yesu kwa imani

14

Namwandama Bwana

17

Yesu kwetu ni rafiki

9

Nasikia Kuitwa

40

Yesu mponya

137

Nataka nimjue Yesu

92

Yesu nakupenda, U mali yangu

50

Naweka dhambi zangu

48

Yesu nataka kutakaswa sana

54

Ndiyo damu ya Baraka

88

Yesu unipendaye

26

Ndiyo Dhamana Yesu wangu

19

Yesu zamani Bethilehemu

73

Ndugu wa kirohoni

63

Yote namtolea Yesu

52

Download\Pakua Tenzi

Orodha ya Tenzi Orodha ya Tenzi

Latest Tenzi Trending

 • Yesu Mponya

  Tenzi:: #137 Tumsifu huyo Yesu Tumsifu milele, Kwani Mponya mtakata Mwokozi wa wanyonge Yesu ndiye mganga wetu Aponya wagonjwa ...

 • Msifuni ,Yesu ndiye mkombozi

  Tenzi:: #136 Msifuni ,Yesu ndiye mkombozi; Imbeni ya pendo zake kuu, Sujuduni,malaika mlioko, Jina lake liwe na sifa kuu. Kama ...

 • Mapenzi ya milele

  Tenzi:: #135 Mapenzi ya milele Ndiyo yanipendezayo; Yalinipenda mbele, Sina fahamu nayo; Sasa amani yake Tele rohoni mwangu, Ni...

 • Juu yake langu shaka

  Tenzi:: #134 Natumai, natumai, Nnatumai kwake tu; Natumai, natumai, Natumai kwake tu. Juu yake langu shaka, Yesu namuwekea, Nam...

 • Ni wako Mungu

  Tenzi:: #133 Aleluya enzi ndako; Aleluya,Amin. Aleluya,enzi ndako; Rejea Yesu. Ni wako Mungu! Ni furaha kwangu, Ni raha kumjua ...

 • Sauti sikilizeni

  Tenzi:: #132 Sauti sikilizeni Za waimbao juu, “Aleluya, Aleluya, Aleluya, mkuu!” Wako makundi-makundi Kama nyota wa...

 • Piga sana vita vyema

  Tenzi:: #131 Piga sana vita vyema Kwa ushujaa daima, Yesu ndiye nguvu zako, Yesu ndiye kweli yako. Kaza mwendo, ushindane Angaz...

 • Niongoze, Bwana Mungu

  Tenzi:: #130 Niongoze, Bwana Mungu, Ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina: Nishike mkononi; U mkate wa Mbinguni, nilishe sik...

 • Karibu na wewe

  Tenzi:: #129 Karibu na wewe, Mungu wangu Karibu zaidi, Bwana wangu Siku zote niwe Karibu na wewe, Karibu zaidi Mungu wangu. Mim...

 • Mmoja apita wote

  Tenzi:: #128 Mmoja apita wote, Atupenda; Zaidi ya ndugu wote, Atupenda; Rafiki wa duniani, Wote hatuwaamini; Yesu kwa kila zama...

 • Bwana Yesu Atakuja

  Tenzi:: #127 Bwana Yesu atakuja, Vumilia! Omba, ukiwa na haja, Vumilia! Mbingunu Mungu aliko, Mwamini Mwokozi wako, Nawe utafik...

 • Ni mji mzuri

  Tenzi:: #126 Ni mji mzuri, Mbali sana; Watu wanawiri Kama jua; Waimba kwa tamu, Tuna wema hakimu: Sifa na idumu, Kwake Bwana. N...

 • Ati twonane mtoni?

  Tenzi:: #125 Naam, twonane mtoni! Watakatifu, kwenu ni mtoni! Tutakutanika mtoni Penye kiti cha Mungu Ati twonane mtoni? Maji m...

 • Mungu ulisema

  Tenzi:: #124 Mungu ulisema, Giza ilikoma; Twakushukuru! Twakusihi sote, Duniani mote Na kwa watu wote, Iwe nuru. Yesu ulikuja, ...

 • Nimeketi mimi nili kipofu

  Tenzi:: #123 Huruma hakuna aonaye, Gizani nagojea macho, Sasa nitakase nikusihiye, Yesu, na dhambi zangu nzito. Nimeketi mimi n...

 • Bwana Yesu

  Tenzi:: #122 Kumbe! Ni dhambi zangu zinazokuumiza. Bwana wangu, Mungu wangu, Mimi leo, naja kwako Ili niziungame. Bwana Yesu, B...

 • Liko lango moja wazi

  Tenzi:: #121 Lango ndiye Yesu Bwana Wote waingie kwake, Lango! Lango La Mbinguni ni wazi. Liko lango moja wazi, Ni lango la mbi...

 • Enyi wanadamu

  Tenzi:: #120 Enyi wanadamu mbona Sana mwatanga-tanga, Kama kondoo wanyonge, Wasio na mchunga? Yuko mchunga mmoja Mwenye mapenzi...

 • Si damu ya nyama

  Tenzi:: #119 Si damu ya nyama Iliyomwagika Iwezayo kuondoa Dhambi za wakosa. Yeye Bwana Yesu Sadaka ya Mungu, Mwenye damu ya th...

 • Tufani inapovuma

  Tenzi:: #117 Hunificha, hunificha Adui hatanipata, Hunificha, hunificha, Mkononi mwake. Tufani inapovuma Sana moyoni mwangu, Hu...

 • Bwana u sehemu yangu

  Tenzi:: #116 Bwana u sehemu yangu, Rafiki yangu wewe; Katika safari yangu Tatembea na wewe; Pamoja na wewe, Pamoja na wewe, Kat...

 • Kilima kando ya mji

  Tenzi:: #115 Kilima kando ya mji Alikufa Bwana; Kuokoa wakosaji Akateswa sana. Kabisa hayasemeki, Mateso dhaifu Alikufa mwenye ...

 • Bwana Mungu, nashangaa kabisa

  Tenzi:: #114 Roho yangu na ikuimbie Jinsi Wewe ulivyo Mkuu, Roho yangu na ikuimbie Jinsi Wewe ulivyo Mkuu. Bwana Mungu, nashang...

 • Ni Mfalme wa mapenzi

  Tenzi:: #113 Ni Mfalme wa mapenzi Ndiye anichungaye, Sipungukiwi, hawezi. Kunipoteza yeye. Kando ya mji mazima Yeye huniongoza ...

 • Nilikupa Wewe Maisha Yangu

  Tenzi:: #112 Nilikupa wewe Damu ya moyoni, Ili wokolewe, Winuke ufuni: Nimekunyimani? Umenipa nini? Nilikupa miaka Yangu dunian...

 • Neno Lako Bwana

  Tenzi:: #111 Neno lako, Bwana, Ni imara sana; Lilo latwongoza, Lilo latufunza. Adui wabaya Wakikaribia, Neno lake Bwana Ni ulin...

 • Mapya ni mapenzi hayo

  Tenzi:: #110 Mapya ni mapenzi hayo, Asubuhi tunayo, Saa za giza hulindwa Kwa uzima kuamshwa. Kila siku, Mapya pia Rehema, wema,...

 • Nitaimba ya Yesu

  Tenzi:: #109 Nitaimba ya Yesu, Kwa rehema zake, Baraka nyingi sana Nimepata kwake; Nitaimba ya Yesu, Sadaka ya Mungu, Alimwaga ...

 • Twenenda Sayuni

  Tenzi:: #108 Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu. Mpendao Bwana Ije raha yenu! Imbeni ny...

 • Ewe, Baba wa Mbinguni

  Tenzi:: #107 Ee Mungu, bariki Ndugu hawa wawili! Ee Mungu, bariki Ndugu hawa wawili! Ewe, Baba wa Mbinguni, Usikie twombalo Hap...

 • Mungu awe nanyi daima

  Tenzi:: #106 Hata twonane huko juu, Hata twonane kwake kwema; Hata twonane huko juu, Mungu awe nanyi daima. Mungu awe nanyi dai...

 • Kuwatafuta

  Tenzi:: #105 Nitakwenda, (kwenda), niwatafute Waongofu (wa Bwana) wageuke, Waingie (wote) katika zizi La Mkombozi (wetu) Yesu k...

 • Twasoma, ni njema sana

  Tenzi:: #104 Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma, dhambi hapana, Mbinguni kwa Bwana; Malaika wema wako, Vinanda...

 • Kaa Nami

  Tenzi:: #103 Kaa nami, ni usiku tena; Usiniache gizani, Bwana; Msaada wako haukomi; Nili peke yangu, kaa nami. Siku zetu hazika...

 • Kazi yangu ikiisha

  Tenzi:: #102 Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso; Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari. Kazi yangu ikiisha, nami nik...

 • Twonane milele

  Tenzi:: #101 Twonane milele, Twonane bandarini kule; Twonane milele, Twonane bandarini kule. Nyimbo na tuziimbe tena Za alivyot...

 • Tumrudie Bwana

  Tenzi:: #100 Mbona washangaa njiani? Mbona warejea nyuma? Warudi tena gizani Alimokutoa Bwana? Ni ya bure yote haya, Uliyofunzw...

 • Maelfu na maelfu

  Tenzi:: #99 Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa! Gizani mle alitoka chini, Sasa atawala huko Mbinguni! Yu hai! Yu hai! Bw...

 • Huyo ndiye! anaskuka

  Tenzi:: #98 Huyo ndiye! anaskuka, Aliyetufilia, Wengi waliookoka, Wakimfurahia, Aleluya! Yesu aturudia. Sote tutamtazama, Ameka...

 • Tazameni huyo ndiye

  Tenzi:: #97 Tazameni huyo ndiye, Mwenye kushinda vita; Haya, tumsujudie; Nyara anazileta; Watu wote msifuni, Sasa yumo kitini. ...

 • Mle kaburini Yesu Mwokozi!

  Tenzi:: #96 Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa! Gizani mle alitoka chini, Sasa atawala huko Mbinguni! Yu hai! Yu hai! Bw...

 • Hivi vita vimekoma

  Tenzi:: #95 Aleluya! Aleluya! Aleluya! Hivi vita vimekoma, Vimeshindwa na uzima, Na asifiwe daima, Bwana Yesu. Nguvu za kifo ni...

 • Siku ya Mbinguni kujawa na sifa

  Tenzi:: #94 Alinipenda, alinifia, Ameondoa na dhambi zangu; Alifufuka nipewe haki, Yuaja tena Mwokozi wangu. Siku ya Mbinguni k...

 • Bwana Amefufuka

  Tenzi:: #93 Bwana amefufuka, Aleluya. Twimbe na malaika, Aleluya. Sifa zetu na shangwe, Aleluya. Na zao zisitengwe, Aleluya. Uk...

 • Nataka Nimjue Yesu

  Tenzi:: #92 Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu, Nijue pendo lake, na wokovu wake kamili. Nataka nimjue Yesu, Na nizidi kumfahamu, Nij...

 • Mapenzi yako yafanyike

  Tenzi:: #91 Mapenzi yako yafanyike, Wewe mfinyanzi, nami towe, Unifinyange upendavyo, Mimi tayari, naja kwako. Mapenzi yako yaf...

 • Kwa Kalvari

  Tenzi:: #89 Rehema bure na neema, Samaha nalo nilipewa, Ndipo aliponifungua Kwa Kalvari. Muda mwingi nilipotea, Sikufahamu msal...

 • Ndiyo damu ya baraka

  Tenzi:: #88 1. Ndiyo damu ya baraka ituoshayo wakosa, Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa; Nimestahili hukumu, siwezi kuji...

 • Damu imebubujika

  Tenzi:: #86 Damu imebubujika, Ni ya Imanweli, Wakioga wenye taka, Husafiwa kweli. Ilimpa kushukuru Mwivi mautini; Nami nisiye u...

 • Ni Mtu wa Simanzi

  Tenzi:: #85 Ni “Mtu wa Simanzi”, Mwana wa mwenye enzi Mwenye mengi mapenzi! Asifiwe Bwana Yesu! Akawa matesoni, &ld...

Washirika
RSS