Washirika
Welcome
Login

Baba Mwana Roho

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #6

 1. Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi,
  Kila tukiamka tunakuabudu
  Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi,
  Ewe Utatu, tunakusifu.
 2. Baba, Mwana, Roho, wakuaminio
  Wanakutolea shukrani zao
  Wanakusujudia malaika nao:
  Wewe u mwanzo, nawe u mwisho.
 3. Baba, Mwana, Roho, sisi tu gizani,
  Utukufu wako hatuoni kosa;
  U Mtakatifu, nawe u mapenzi,
  U peke yako, mwenzio huna.
 4. Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi,
  Ulivyoviumba vyote vyakusifu:
  Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi
  Ewe Utatu, tunakusifu.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Ewe, Baba wa Mbinguni
  Tenzi:: #107 Ee Mungu, bariki Ndugu hawa wawili! Ee Mungu, bariki Ndugu hawa wawili! Ewe, Baba wa Mbinguni, Usikie twombal...
 • Baba yetu aliye Mbinguni
  Tenzi:: #29 Anipenda Mwokozi Yesu, Anipenda, anipenda; Anipenda Mwokozi Yesu, Anipenda mimi. Baba yetu aliye Mbinguni Amen...
 • Roho Yangu Hima
  Tenzi:: #21 Yesu yuko mbele, Yesu yu nyuma, Yesu vivyo kando, walindwa vyema. Roho yangu hima, na taa yako Kaiwashe vyema,...
 • Ewe Roho Wa Mungu
  Tenzi:: #12 Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. Ndiwe mwanga, umulike Tupate jikana; ...

Submit Worship Music

RSS