Washirika
Welcome
Login

Anisikiaye aliye yote

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 | ወደ ቆላስይስ ሰዎች 3:16 | Col 3:16 | كولوسي 3:16 | Colosenses 3:16

Tenzi:: #36

 Ni “Atakaye”, ni “atakaye”,
Pwani hata bara, na litangae; Ni Baba Mpenzi alinganaye Atakaye na aje.
 1. Anisikiaye, aliye yote;
  Sasa litangae, wajue wote,
  Duniani kote neno wapate,
  Atakaye na aje!
 2. Anijiliaye, Yesu asema,
  Asikawe, aje hima mapema;
  Ndimi njia, kweli, ndimi uzima;
  Atakaye na aje!
 3. Atakaye aje, ndivyo ahadi;
  Atakaye hiyo, haitarudi!
  Atakaye lake, ni la abadi!
  Atakaye na aje.
Washirika

Post your comment

Comments

Be the first to comment

Related Articles

 • Yote namtolea Yesu
  Tenzi:: #52 Yote kwa Yesu, Yote kwa Yesu, Yote kwako, Ee mwokozi, Natoa sasa. Yote namtolea Yesu Nampa moyo wote, Nitampen...
 • Kukawa na giza dunia yote
  Tenzi:: #44 Jua, Yesu hana mwenziwe! Nalipofuka kama wewe: Nakuombea umwone nawe, Ni mwanga wa ulimwengu. Kukawa na giza d...
 • Baba yetu aliye Mbinguni
  Tenzi:: #29 Anipenda Mwokozi Yesu, Anipenda, anipenda; Anipenda Mwokozi Yesu, Anipenda mimi. Baba yetu aliye Mbinguni Amen...

Submit Worship Music

RSS